MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,133
- 151,913
Oooh,pole na majukumu.Majukumu mdogo wangu
Oooh,pole na majukumu.Majukumu mdogo wangu
Ntakuibia usijali 😅Ni nani huyo niibie siri😍
Asantee love
napenda kuandika sana sana 😊
Huyo Tanzania three ndio nani🤭
Njoo PM love 🤭Ntakuibia usijali 😅
Unataka nimtaje nifungwe 😜
Nashindwa kuelewa 😝
Bi idhin llah kila kitu kitakua InshaAllahNakuja soma,Leo nipo mstari wa mbele.
Aisee Uzi mtamu, vile matumaini yangu mwaka wa mbele.
Allah bless me 🙏🙏
Umeniwahi buddyBila serikali kuwa serious na mahitaji ya wananchi kila mtu atageuka motivasheni spika, ni swala la muda tu🤔
huyo love Akitoka pm kwako aje na kwangu 😁Njoo PM love 🤭
Naamini kitakuwa🙏Bi idhin llah kila kitu kitakua InshaAllah
shetani ni nani😊Naamini kitakuwa🙏
Shetani apite kushoto.
Kitaani ni kubaya buda , na sirikali inachekea chooni inavyosikia mnahamasishana msikate tamaaUmeniwahi buddy
wanachekea chooni 😁Kitaani ni kubaya buda , na sirikali inachekea chooni inavyosikia mnahamasishana msikate tamaa
Hivi hua ni attention mnatafuta au hua ni nini?Umeniwahi buddy
Njoo nikuonyeshe.shetani ni nani😊
Naomba pic ya shetwani nimeone live
Hakuna kitu kibaya kama kuwa na hopesKuwa na tumaini ni jambo jema sana, lakini tumaini hilo hilo lina upande mwingine ambao watu huwa hawauzungumzii.
Wakati mwingine tumaini huwa linaugeuza moyo na akili kuwa mateka wa matarajio yasiyo na mwelekeo, wapo wanaolitumia tumaini kama kisingizio cha kuendelea kukataa kuukubali ukweli ulio wazi mbele yao.
Mfano halisi, unakutana na kijana amemaliza chuo miaka mitano iliyopita, yupo tu mtaani hataki kujifunza ujuzi mpya, hataki kujaribu biashara, au kilimo, kila siku anasema ana tumaini siku moja atapata kazi inayoendana na kile alicho kisoma, mtu wa aina hii kuwa na tumaini ni kama anakuwa kipofu asiyeona chochote, anakuwa hatambui fursa zingine zilizo nje ya kile alicho kisoma.
Tumaini lina thamani pale linapoambatana na juhudi, kuna msemo unasema, while there's life, there's hope, lakini pia kuna ukweli mwingine unasema kwamba, not every hope becomes reality na huu ndiyo uhalisia wa maisha yetu ya kila siku.
kwa hiyo kwangu mimi, tumaini ni kuendelea kusonga mbele hata kama hujui matokeo yatakuwa kama ulivyopanga au Lah! ukiona njia uliyoitegemea haiwezekani tena isife moyo, tengeneza njia nyingine kwa sababu mwisho wa siku, kinachobadilisha maisha yetu sio kubwa na tumaini pekee bali ni kuwa na maamuzi, juhudi na uwezo wa kuukubali ukweli hata pale unapoonekana kuwa mchungu.
Siri ni kali sana bwasheewanachekea chooni 😁
nije wapi sasaNjoo nikuonyeshe.
noma sanaSiri ni kali sana bwashee
Usiwe siriazi bhana😂Hivi hua ni attention mnatafuta au hua ni nini?
Hivi umewahi kuona ni kidandia uzi wa mtu na kuanza upuuzi kama huu?
Hizi issue wangefanya wanawake ningelewa tunagombea bwana 🚮🚮🚮
Acha upumbavu saivi nakuona kila nikabandika uzi unakuja kunifanyia taflani halafu unajichekesha hovyo we kama hunikubali pita hivi acha kuniletea fake smile hapa 🚮🚮🚮huyo love Akitoka pm kwako aje na kwangu 😁
Sitaki upuuzi coz sio mara ya kwanza mtu akiona nimepandisha uzi anawashwaUsiwe siriazi bhana😂