Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Ndio nauona leo,sasa ivi
Mbona wimbo mbaya
Hahahaha penye udhia penyeza rupia!!!!Ndio ulikuwa mkali miaka yetu
Hahahaha penye udhia penyeza rupia!!!!
Umenikumbusha mbali sana,diamond kamshirikisha nani vile?
Daahh nimekumbuka mbaliii
Hahahahhahaaa naupenda sana saaaaana huu wimbo.....inanikumbusha miaka hio when mapenzi yalipokua mapenzi
Mitongozo ilikuwa mpaka kidume ujipange.hahahahahahahahahah ulikuwa ukimpa mwanamke pesa kidogo tu anaiweka ukipata shida anakurudishia walikuwa wanapenda kweli sio huu mchwa uchwara
Mitongozo ilikuwa mpaka kidume ujipange.
Mambo yanabadilika Sana mda mwingine mabadiliko ni mazuri mda mwingine ni mabaya.
Heshima yamapenzi imeshuka. Mambo yamekuwa kibiashara zaidi. Kila kitu ni fake mapenzi yamekuwa fake.haya ya sasa ni zaid ya mabadiliko yaani ni kupatwa
Heshima yamapenzi imeshuka. Mambo yamekuwa kibiashara zaidi. Kila kitu ni fake mapenzi yamekuwa fake.
Wapo walio halisi ila kasi ya mawimbi ya utandawazi wanaonekana ni washambana watu nao tushakuwa fake
Wapo walio halisi ila kasi ya mawimbi ya utandawazi wanaonekana ni washamba