Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Kama bado haujaoa tuma meseji yako hapa au Dongo kwa mke/mme wako mtarajiwa ukimkumbusha au kumwambia kitu furani.
Ya kwangu kwa mke wangu mtarajiwa ni hii tu.
Somewhere huko alipo mke wangu mtarajiwa,Yupo anajipostisha bae wangu atakuwa hv, Awe na six packs, tall, handsome, dimpoz
Nyoooo!! Ngoja uwone mungu atakavyokufurahisha pimbi Weee!!
( I AM A TANZANIAN, I LOVE MY COUNTRY.).........!!!!!!!