Tuliwaonya sana hamkusikia

Wewe ni mpumbavu sana
 
Hao wapumbavu wako jela Wanakula Mlo mlo mmoja kwa siku asubuhi wanakunywa uji usiokua na Sukari
Wewe asubuhi mihogo mikavu ,Abdul yupo Burj Al Dubai na continental breakfast
Mwambie Gerson akuongeze hela.
 
Si mlisema CHADEMA ni chama cha Wachagga? Wako wapi wachagga hao kwenye mkeka wako?
 
Acha ku mention Boss Mkubwa ambaye katengeneza Platform ambayo Kilaza kama wewe una enjoy leo
Platform inayoandamwa na kufungiwa maranyingi na serikali yako ya CCM
Btw point yako ni ipi kwenye huu mnakasha?
 
Baada ya hayo mashtaka tulitarajia uzi kama huu “Tuliwaonya hamkusikia “

Hii ndio namna yenu pekee iliyobaki ya kufanya siasa. Pathetic!
 
Hata wewe hauko salama, kumbuka Polepole aliwahi kujivunia kuwa CCM itatawala kwa miaka zaidi ya 80 ijayo, yuko wapi leo!
 
Hao wapumbavu wako jela Wanakula Mlo mlo mmoja kwa siku asubuhi wanakunywa uji usiokua na Sukari
Unadhani wewe ni zaidi ya Polepole?.
Ni njaa tu inakusumbua f.ala wewe.
Lakini ukute watoto wako wanashindia mkate.
 
kwani hii nchi ni ya watoto wa Heche Lema Maria na akina Brenda?

kwa sababu kiuaji kimewateua watoto na mkwe wake kuwa Waziri, mnafikiri kila mtu ana mawazo hayo!
 
Aiseee kwahio watu wasidai haki zao kisa kufungwa.

Tukiwatukana mnatureport.
 
Ubongo wako umejifunga kiasi kwamba umeamini 'serkali' ni jitu kama mzimu la kuogofya na halisemwi!(Goblin).
Jaribu kujielelimisha kuhusu haki na wajibu naona umeshaiuza thaman yako kwa bei ya kilichooza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…