Hii uliwahi kusimulia Tena humu mkuu??In 1996 niko darasa la nne, kahama,tulikua kwenye mavuno ya mpunga,miezi hiyo May,June pande hizo kuna upepo sana,basi mi nikaambiwa nitoke shamba nitangulie home,kutoka mbulu hadi nyasubi natembea along road coz baiskel zote zitabeba mpunga,basi nikaokota kiberiti,nikainhia kwenye mashamba ya watu afu hajajavunwa,nikapiga njiti moto ukawa nikazima,ikawa kama mchezo lastly nikauachia moto, oooooooh ooooh mazao kibao yaliungua nilikimbizwa nikashikwa,nikachezea kichapo si cha kiviiiiile na blah blah nyingi za mwenyekit wa kijiji[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji16][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]
Tena ile version hakushikwa. alienda kulala mapangoni mlimani.Hii uliwahi kusimulia Tena humu mkuu??
Maana huyo mdada asingesalimikaNatumai hakikuwa kipindi cha baridi..
Natumai hakikuwa kipindi cha baridi..
Hadi leo ukiona mzungu unakimbia?
Huyo mchuchu uliyekuwa naye yupi wapi sasa...
Can't imagine mzee baba ulikuwa porini na mchuchu kama upo Eswati vile
mkuu ushakua mhenga THUMUNI...By then nipo Chekechea ,tukiisshi karibu na Taasisi fulani ya Elimu.Tulikuwa na bifu na watoto wa huko Kota....walikuwa wanaringa! Siku moja tukaona tuwakomeshe ilikuwa ni kipindi cha Kiangazi nyasi zimekauka kama karatasi,na Chuo kilikuwa kimezungukwa na nyasi nyingi! Tukaona tuwakomoe,,,Tukawasha moto ! Balaa lake halikuwa la Karne ile! Nyasi na miti yote katika eneo la chuo ziliungua!
Baada ya kama masaa 2 tulijitokeza eneo lile eti tushangae wasituhisi kuwa ni sisi! Dunia enzi zile ilikuwa nzuri sana ...kinyume na matarajio yetu walituhisi tukawekwa mtu kati lakini Baada ya Kugundua kuwa ni watoto wa Mzee ....wakatusafisha kuwa watoto wa yule mzee hawawezi kufanya ujinga ule!
Mwaka uleule tuliwafumania wanachuo wakipeana mapenzi porini tuliwafukuza hadi wakaomba poo na kutuhonga na Thumuni 2 za pipi!