DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Ilo gazeti hakuna mtu mwenye akili anayelisoma.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kichwa cha habari hii leo chajieleza,eti CHADEMA YAMWAGA DAMU..ikiwa pia na lengo la kumbeba Mwigulu ambaye aliratibu mauaji hayo kwa njia ya simu.Tunapenda kuwaeleza wakala wa magazeti ya serikali TSN kuwa wanaokamuliwa kodi hawana itikadi moja,na hilo gazeti lao watambue kuwa hapa arusha haliuzi hata nakala 60 bcoz'f bias.
Na sidhani mtu asiye na akili anajua kusoma..
Na sidhani mtu asiye na akili anajua kusoma..
Na sidhani mtu asiye na akili anajua kusoma..
Mhariri Mkuu wa Hilo Paper ni kada mahiri wa chama cha mabwepande, unategemea nini Mkuu?Kichwa cha habari hii leo chajieleza,eti CHADEMA YAMWAGA DAMU..ikiwa pia na lengo la kumbeba Mwigulu ambaye aliratibu mauaji hayo kwa njia ya simu.Tunapenda kuwaeleza wakala wa magazeti ya serikali TSN kuwa wanaokamuliwa kodi hawana itikadi moja,na hilo gazeti lao watambue kuwa hapa arusha haliuzi hata nakala 60 bcoz'f bias.
Na sidhani mtu asiye na akili anajua kusoma..
Kisa wameandika habari -ve kuhusu CDM ndo unataka wasuse?
Ila habari ingekuwa CCM yamwaga damu mngekuja kusema habari leo sasa ni Wazalendo.
Wana ushahidi gani kuwa CHADEAMA ndio walio uwa?
competence yao ni ndogo sana kiasi kwamba hawajui hata ni wakati gani wa kuwadanganya watu.Kwa upande mwingine wanazidi kuipromote CDM