Tulisusie gazeti la Habari Leo, halina utaifa, lipo kichama zaidi

hilo gazeti huwa silionagi kwenye stands za magazeti likiuzwa. wateja wao wakubwa ni maofisi ya serikali basi. nani anunue huo utumbo?

gazeti dhaifu lazima lisomwe na watu dhaifu tena wanaoiunga mkono serikali dhaifu.nani asome pumba kwenye gazeti hilo?
 
kujua kusoma sio kuwa na akili, kuwa na akili ni kuwa na uwezo wa kutafakari, kuchambua na kugundua zuri na baya katika maandishi uliyosoma. Nitakupa mfano kwenye dini yangu ya KRISTO.

Dini hii imekuwa na watu wengi hovyo, ndio maana tumegawanyika ili hali wote tunamtaja KRISTO. Sababu ya hali hii, ni kwa kuwa kuna watu wanajua kusoma na kuandika, lakini wanayoyasoma hawayafanyii kazi, hawatafakari MUNGU alikusudia nini, kila mtu anakuja na upuuzi wake, ndiyo maana tumegawanyika.

Leo hii ni vigumu kwa muluther kumweka pamoja na TAG, TAG hawezi kuelewana na Roman Catholic, Anglicana na PEFA na wengine wengi japokuwa biblia ni ile ile moja, na masihi ni yule yule mmoja. Haya yanadhihirisha kujua kusoma na kuandika siyo kuwa na akili

mkuu nashukuru sana umetusaidia wengi,wengi hapa jf huwa tunakurupuka.
 
Sasa ulitaka waandike vipi lakini ukweli unauma MTU MMOJA AFARIKI KATIKA MKUTANO WA CHADEMA hapo pana ubaya gani na hivyo ndivyo walivyoandika au ulitaka waandike manyika ampasha spika bungeni jadili mambo ya mcngi au chadema ni malaika hawakosei

Mkuu ndio maana sisi wengine hatuna vyama. Ukishakuwa shabiki wa chadema unakuwa kama mwehu fulani hivi.
 
Back
Top Bottom