Tulipotokea...

Explainer

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
517
Reaction score
509
Heshima kwenu wakuu, hivi hii kitu ilikuwa mwaka gani vile??
 
Mkuu hizi mbona zipo mpaka sasa, anzia wakati ule hata rangi hizo hazikuwepo, pale zilipoanza kuitwa daladala kabla hata ya chai maharage
 
Kuna uda zile za zamani baadae zikaja chai maarage
 
MWANZILISHI WA DALADALA HAPA DAR. MTU MMOJA ALIKUA ANAISHI MANZENSE WAKATIULE KAMA SIKOSEI NI MTU WA IRINGA HUYO KWA NIKENAME...ALIKUA ANAITWA ISSACK HETH..AU KIPALA NA MANDEVU.... NA ILIKUA NI K.KOO MANZENSE TSH.5..WAKATI ULE YEYE NDIEBUNIFU ALIKUA NA FORD FORMOKO...KAMA SIKOSEI AU VOXWAGEN COMBI...THEN WENGINE WAKAANZA KUIGA NA KUTUMIA FULSA HIYO....
 
we vipi!! hizo gari ni za juzi zina namba mpya kabisa!! weka zile zenye TZB, MZK, ARS nk.
Mrejesho. kumbe sio EICHER tu kuwa na mlango mbele na nyuma, duu kila kitu kinajirudia tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…