Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,240
- 1,478
Ulisoma course gani na chuo gani mkuu?Kwa shule yangu ya chuo ilivyokuwa ngumu, hii nilionayo nimejipendelea sana. Sikustahili.
GPA yangu ndogo inanipa limit za fursa zinazohitaji GPA kubwa.
Je ninyi wenye GPA kubwa hali ikoje huko kileleni?
Hakuna mpya. Ajira unaisotea kuipata na utakuja kuipata na yule aliyepata gentleman GPA. Vingenevyo labda kama una ndoto za kuwa mwalimu wa vyuo vikuu.Kwa shule yangu ya chuo ilivyokuwa ngumu, hii nilionayo nimejipendelea sana. Sikustahili.
GPA yangu ndogo inanipa limit za fursa zinazohitaji GPA kubwa.
Je ninyi wenye GPA kubwa hali ikoje huko kileleni?
Nilikuwa Muhimbili, kozi naomba iwe confidential.Ulisoma course gani na chuo gani mkuu?
Hahahaa.. tunaendeleza gurudumu mkuuHahahahaha mmetoka kwenye divisheni mmeingia kwenye GPA
Acha tu tufurahi mkuu, hizi kumbukumbu zinafurahisha sanaHahahahaha mmetoka kwenye divisheni mmeingia kwenye GPA
Pharmacy hiyo.... hongera mkuuu.. na pole kwa shule ngumuNilikuwa Muhimbili, kozi naomba iwe confidential.
Umande wa miaka 4 nimeukanyaga haswa hapo MUHAS
Hongera sana kaka Philipo3.5 with Honors, lakini mpaka leo sina kumbu kumbu vyeti vyenyewe nimeweka wapi
G.P.A haina msaada aisee
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kipindi nasoma kozi za miaka 4 zilikuwa 2, sasa hapa unaweza kubet mwenyewe.Pharmacy hiyo.... hongera mkuuu.. na pole kwa shule ngumu
Wangapi? Maana asimia kubwa mtaani ni masikini na asilimia kubwa hawana vyetiWasio na vyeti mtaani wanatamba
Farmacy hiyo.Kipindi nasoma kozi za miaka 4 zilikuwa 2, sasa hapa unaweza kubet mwenyewe.
Siku hizi kuna Biomedical Engineering ya miaka 4
Nawatakia mkutano wenye mafanikio.