Yaan ina maana huko Sauzi wasuguagi wamepungua na wanaume wengi huko wamekuwa kama mlenda!!?
Ila all in all hizi sheria za dini hasa za kikristu ninaona kama haziwatendei haki sana wanawake maana kwa wingi wao pia hata wanaume tukisema wote tuoe kuna wanawake bado watabaki bila wanaume
Ni evolution process na ni nature huwezi pinga lazima species Fulani iondoke ije nyingine lzm kizazi chetu kitaisha kitakuja kizazi kingine kitatoweka nk,Mungu mwenyewe ndo yupo juu ya yote na mwenye uwezo wa kusimamia yote pia