Tulipofikia kama Taifa

Mimi sikubaaliani nawe; hasa kuhusu hiyo orodha ya sababu.

Kwa vile ni mabango ya Samia; hao kwangu nawaita ni "wajasilia mali" makini sana.
Hawa ni wapambanaji, ambao mchango wao kuliokoa taifa hili ni muhimu utambuliwe na kuheshimiwa.

Sijui hilo la "kukataa tamaa" wewe umelitoa wapi, wakati hawa ni mfano mzuri wa kuigwa na wote wapenda nchi yao Tanzania.
 
Nonsense.
Unabwabwaja vitu usivyo vijua; na kama ni vya kusimuliwa hata uwezo wa kujitafutia usahihi wa storiulizo pewa huna. Sasa wewe tukuchukulie vipi.

Kama wewe ulikuwa 'brainwashed' utakuwa umefanyiwa hivyo na maadui wa nchi hii, na siyo hao unaowanyoshea kidole hapa.
 
Kuhusu vijana kutumia mihadarati: Mihadarati ni ganzi inayotuwezesha kuhimili machungu ya maisha. Machungu ni mengi tu,mnayajua.
 
Huyo dogo anaonekana anahitaji msaada,wakisema wamfunge wala siyo suluhisho ndiyo kwanza watakuwa wanaenda kutengeneza nunda

Ova na kutokubadilika
Atasaidiwa akiwa ndani kwanza akangaliwe kama hatoogopa
 
Kwa kweli CCM ni adui wa haki hapa Tanzania, hii yote inaonyesha wananchi jinsi walivyochoka na ufisadi hapa nchini, people don't care anymore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…