Tulipinge tamko la Pinda kwa nguvu zote!!

kufuatia tamko la Mh. waziri Mkuu wiki iliyopita kuwa wananchi wapigwe, tupo kwenye kampaign ya kumtaka Waziri huyo atengue statement yake hiyo kwani si haki na wala si sawa, kindly nawaomba msign kwenye link hii ili tupate as many signatures as possible kuonyesha ni watu wangapi jambo hili limewagusa:

Wito kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Sign the Petition
Amini nakwambia kwa kichapo watakachokipat hao polisi wala haina haja ya kuhangaika na PINDA askari wake WATANYOOKA tu!
 
Amini nakwambia kwa kichapo watakachokipat hao polisi wala haina haja ya kuhangaika na PINDA askari wake WATANYOOKA tu!
Ni matumaini yangu atafuta kauli yake kabla ya kuisha kikao hiki cha bunge. Polisi wenyewe wanaopewa mamlaka ya kupiga watu ni hawa wala rushwa wakubwa?
 
Back
Top Bottom