Tuliowahi kuwa viranja shule ya msingi tukutane hapa

niliwahi kuwa mgonga kengele primary ila kwa muda mfupi. nilikuwa napiga kasoro dakika chake kabla ya muda hasa home time.
 
nilikua monitor raha shambani kiranja wa bweni utampa potion alime
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Nilibahatika kuukwaa ukaka mkuu usaididiz nikiwa darasa la tano tu, sikuwahi kuwa hata monitor wala kushika uongozi wowote ule shule. Nilikuwa nawahi sana shule kikiagizwa chochote kile shule nilikuwa lazima nibebe kwa mfano fito, nyasi au kisovia , matete, siku mnaambiwa mje na majembe sikuwahi kuwa mkaidi, kwa wale waliosoma shule za wilaya ya ulanga mahenge watanielewa vizuri.

Kwa nidhamu yangu nikaukwaa UKAKA MKUU MSAIDIZI kama jamaa fulani alivyoukwaa uraisi wa fifa sijataja mtu hapa, tangu siku hiyo sikuweza tena kubeba jembe wala kitu chochote kile kilichokuwa kinaagizwa na walimu mimi ndiyo nilikuwa mtoa matangazo saa nane muda wa kutoka.

Wakati naukwaa ukaka mkuu msaidizi kaka mkuu alikuwa lasaba, walipomaliza tu la saba nikapanda cheo kuwa KAKA MKUU, shule tulikuwa na shamba la mihogo, ndizi na mahindi tulikuwa tunalima jamani nyie acheni tu ngoja niishie hapa MSIONE CCM WANATUMIA POLICE kubaki madarakani kama hujanielewa hapo basi tena.

sikuwa kiongozi fisadi ila uongozi una raha yake.
 
4m2 nilipewa ukiranja sikumbuki kama niligombea nkajikuta napangiwa eneo la kusimamia na nikawa nawasimamia 4m4 wafanye usafi bahati nzuri nkapata na kademu ka 4m4 kupitia kua kiranja wao wa eneo
Nilipo fika 4m4 nilikua mtukutu mjanja mwl wa nidhamu akaniita akanambia nataka nikupe uongozi ila upunguze utundu na uwe busy na mambo ya shule maana nlikua vizuri darasani so wakahofia ntazingua mwishoe nikapewa ukiranja usio kua na kitengo maalumu kama prof mwandosya enzi za JK, i miss old moments nlikua msafi kuliko head prefect na nlikua famous mpk kwa vitoto vya 4m1 uko sema nlikua naumia nkivipenda nakuta vishanipenda pia kinachofata najikuta nimepiga break katikati ya mapaja yao sema sikutumia cheo hapo labda mvuto mavazi maana ckua HB hata au maneno maneno ya mdomoni
 
umenikumbusha mbali yaan! mimi nilikuwa kiranja mkuu, mim ndo nilikuwa naviatu shule nzima, full kuchomekea na soks mpaka magotin.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shule nlyosoma ili upewe nafasii ya kiranja lazma uwe mkubwa, km cyo umr basii ht kmwl uonekane mkubwa....mm nlkuwa mdg wa wote
 
Nilibahatika kuukwaa ukaka mkuu usaididiz nikiwa darasa la tano tu, sikuwahi kuwa hata monitor wala kushika uongozi wowote ule shule. Nilikuwa nawahi sana shule kikiagizwa chochote kile shule nilikuwa lazima nibebe kwa mfano fito, nyasi au kisovia , matete, siku mnaambiwa mje na majembe sikuwahi kuwa mkaidi, kwa wale waliosoma shule za wilaya ya ulanga mahenge watanielewa vizuri.

Kwa nidhamu yangu nikaukwaa UKAKA MKUU MSAIDIZI kama jamaa fulani alivyoukwaa uraisi wa fifa sijataja mtu hapa, tangu siku hiyo sikuweza tena kubeba jembe wala kitu chochote kile kilichokuwa kinaagizwa na walimu mimi ndiyo nilikuwa mtoa matangazo saa nane muda wa kutoka.

Wakati naukwaa ukaka mkuu msaidizi kaka mkuu alikuwa lasaba, walipomaliza tu la saba nikapanda cheo kuwa KAKA MKUU, shule tulikuwa na shamba la mihogo, ndizi na mahindi tulikuwa tunalima jamani nyie acheni tu ngoja niishie hapa MSIONE CCM WANATUMIA POLICE kubaki madarakani kama hujanielewa hapo basi tena.

sikuwa kiongozi fisadi ila uongozi una raha yake.

Ufisadi ulikuwepo mashuleni khasa zile shule zilizokuwa zinatoa chakula.

Kuna wale walokuwa wakisingizia ugonjwa, wanasingizia kuumwa vidonda vya tumbo ili aachane na mahagare na kabichi na awe anakula mchicha kidogo, nyama na mchuzi pamoja na mayai ya kukaanga.

Asubuhi au jioni wanapiga maziwa fresh au chai ya maziwa na maandazi au chapati.

Sisi wengine tuliambulia uji asubuhi, ugali wa dona na maharage ila mafuta yalitumiwa ya mawese kwa mbali.

Tatizo viranja nao walikuwa wakitumia nafasi hiyo kufaidi hiyo sehemu ya chakula hicho.

🙂🙂
 
Kumbe mawese umetumia sana mkuu
 
Mimi nilpewa ukranja darasa la nne kwa vile Nilkuwa najua kuongea Kiswahili vizur.. Tuliosoma shy tunajua Hali ilvyo miaka ya 84-90....
 
Ukianzisha uzi wa mapai enzi za shule unitag, sikuwahi kunyamaza nikishuhudia lolote!
 
Back
Top Bottom