Tuliowahi kuwa viranja shule ya msingi tukutane hapa

Tuliowahi kuwa viranja shule ya msingi tukutane hapa

Ezeb

Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
24
Reaction score
21
Kuwa kiranja shule ya msingi enzi hizo ilikua raha sana maana inapewa heshima kubwa sana na wanafunzi pia walim. Ilikuwa sikosi pesa ya kula wakati wa break sa nne nkiwa na kampani kubwa full ulinzi.
 
Mimi nilikua kiranja enzi hizo kijijini miaka mwishoni ya 90.
Shule yetu ilikua inalima korosho sasa msimu wa korosho ukifika pale wanafunzi wanatakiwa kwenda kuokota korosho alafu wanaleta tunawahesabu mimi nilikua naokota zote zinakua mali yangu kwasababu sikaguliwi.
 
Ndio mkuu umenikumbusha kitambo sikuwa kiranja ila nilipata kuwa kiongozi wa usafi shule ya msingi ununio ilikuwa raha sana full heshima
Kuwa kiranja shule ya msingi enzi hizo ilikua raha sana maana inapewa heshima kubwa sana na wanafunzi pia walim. Ilikuwa sikosi pesa ya kula wakati wa break sa nne nkiwa na kampani kubwa full ulinzi.
 
Kiranja na taim kipa hapa,enzi zile mwenye saa anapewa u-taim kipa
 
Wengi Wenu mlikuwa viongozi wanoko na *****.

Niliukataa Uongozi shuleni ambao maranyingi huwa ni wakipapeti.

Nilisimama na Jamii ya wenzangu kuendeleza harakati za kupinga unyonyaji,Upumbavu na ujinga ujinga mwingi.
 
Mimi niliwahi kuwa kiranja wa mazingira nikatumbuliwa na mwalimu mnonko
 
Nilikuwa kiranja shule ya msingi mnazi mmoja. Kuna siku mhuni mmoja wa kariakoo( mwanafunzi asiyependa shule) alinichanja na chupa kwenye mkono tulipo mkamata aingie darasani
 
Back
Top Bottom