Tuliowahi kukojoa kitandani tukutane hapa

Tuliowahi kukojoa kitandani tukutane hapa

kipedo

Senior Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
166
Reaction score
84
Kama kichwa kinavyo jieza hapo juu
nakumbuka sikumoja niko mkoa fulani kwenye miangaiko nika kikutana na dem fulani nikaenda kuka gegeda dah nimepiga mzigo nikawa nimechoka nikachukuwa maji kama lita niKapiga yote usingizi ukanichapa nakuja kustuka alfajiri nomelibwanda alafu dem kalowa kichizi niliona aibu vibaya.
ALIYE WAHI KUKUTANA NATUKIO KAMA LANGU AJE ATUJUZE
 
Ama kweli Nchi ya viwanda karibu tuifikia! Mliishakojoa vitandani huko nyuma, mkikutana mtaafikiana nini, mkazoe!
 
Hizi mada hizi sasa mnataka mkumbushie zamani mlikuwa mnakojoa hovyo.magufuli una kazi na watu wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom