Ndo tunafundishwaMiaka 7 ufunge?
#huo ni uonevu sana.
me niliwah kufumaniwa nadokoa nyama bafuni, mpaka leo nawaza ile nyama ilifata nin kule bafuni.!





ayseeHii kitu inachekesha sana uwapo chuon! Jamaa yangu ilibidi kufungua kwa lazima kipindi cha mfungo alipo meza karatasi pasipo kutarajia ili kuuaso na ulikuwa umebaka kwel kwelNimefumwa juzi kwenye mtihani wa UE(University Examination)na Msimamizi naibia akaniomba ID yangu nikamwambia"Wewe kama nani?"akaja kuchukua ID yangu nikachomoka tukaanza kukimbizana kwenye chumba cha mtihani hadi akachoka ikabidi alale kwenye meza kisha akakimbilia kufunga mlango na kuita walinzi ndo wakaja kunishika ***** zao wangese wale staki ata kuwaskia manina zao.
Hahaha ni balaa chaliangu,Hii kitu inachekesha sana uwapo chuon! Jamaa yangu ilibidi kufungua kwa lazima kipindi cha mfungo alipo meza karatasi pasipo kutarajia ili kuuaso na ulikuwa umebaka kwel kwel
nshafumwa na mshua bafuni napiga puli utamu ulinizidi mpaka nlisahau kufunga kitasa




Ogopa sana kukutwa unakata kimbaa lazima mood ikatee... kwanza hakuna mtu mwenye nguvu kama anaezuia mlango wa toilet usifunguliwe akati anakata gogo![]()





Noma kwelHatarii mkuuShughuli inasimama kwanzaa...