Tuliowahi kuacha kabla hatujaachwa hebu tukumbushane ni mbinu gani ulitumia kumuacha mpenzi wako

Duuh apa siku fichi njia ulio tumia ume zingua
Hilo nilishalitambua mda broo...na nimeshajutiaga na kujutia ila hiyo yote ni kwa sababu ya kuwa kwenye mahusiano na mtu ambae humpendi au kwa lugha rahisi naweza kusem unakuwa nae kwa kumhurumia, ndo kilichopelekea nikawa natumia lugha za ajabu ili tu aniache maana alikuwa hataki kuachika
 
ka yuko hivyo mwepes wa kusamehe ndo vzur unamwomba msamaha anakusamehe alafu mnaongea ka watu wazma umwambie ukweli ili akae akijua asije poteza mda wake na kuumiza moyo wake kila day wakati ukweli keshaujua
Mpaka kufikia hatua ya kumwambia kuwa "sina hisia na ww kwa sasa nakuona kama mwanaume mwenzangu tu" ujue tiari nilishatumia sababu nyingi kufikisha ujumbe kuwa tuachane lakini hakuelewa, so naamini hakuna lugha ya kiutu uzima nitakayoenda kutumia alafu eti akasamehe na kukubali kuachana, kusamehe najua atasamehe faster sana ila kwenye kuachana ndo shida hapo, ukisema tu tuachane anageuka na kusema basi sijasamehe, alafu hata sioni anachong'ang'aniaga kwangu ni nn kwa sababu nigekuwa hata na pesa, pesa zenyewe sina, au ningekuwa basi hata handsome nako hamna mm nilijamaa flani tu jeusi jisura halina mwelekeo alafu lirefu jembamba kiasi, then familia yake kiuchumi iko juu kuliko yangu na anajua hilo, then ye amejiajiri ana duka la dawa alipewa mtaji na Baba ake 3 million (maana huyu bint alisomaga nursing) lakin mm hata kazi ya maan sina tangu nimemaliza chuo 2018 mpaka leo najishikiza shikiza tu sina kazi ya maana, so sijui huyu bint ananing'ang'aniaga kwa lipi hasa 🙂🙂🙂
 
,😅 dah mapenz kitu kingne jaman
 
Nilishangaa tu mtu kaacha kunitafuta kama zamani nikihoji anasema yuko bize na kazi,nikimpigia simu anaweza pokea mara anakata atatuma sms eti yupo bize mambo yanaingiliana nkaona isiwe kesi nimefuta namba zake na sijamtafuta tena ndo imetoka hiyo.
Saivi jumbo liko wazi au ?
 
Nilishangaa tu mtu kaacha kunitafuta kama zamani nikihoji anasema yuko bize na kazi,nikimpigia simu anaweza pokea mara anakata atatuma sms eti yupo bize mambo yanaingiliana nkaona isiwe kesi nimefuta namba zake na sijamtafuta tena ndo imetoka hiyo.
Inaelekea ulimzingua kipindi cha nyuma mkarekesha lakini yeye hayakuyamaliza, alikata tamaa na wewe bila wewe kujua. Pole
 
Duuh...... bhan umenikumbusha mbali sana... Mimi sikuwahi kupendwa (kutongozwa na mwanamke) mara nyingi huwa mpaka nitongoze mimi, sasa kuna siku demu mmoja kapotea njia akaji race akanambia kaka nakupenda ila nakuogopa sana maana mda mwingi uko siriazi sana hata haucheki cheki ama kufanya utani, basi baharia kipindi hicho nilikuwa na miaka 24 alafu dem alikuwa na 22, sasa nikaona huyu dem labda anatania lakini nikaona anaendelea kunisisitiza kuwa ananielewa lakini mimi sikuvutiwa nae sana maana ni kazuri sawa sura na shape lakini sasa alikuwa mfupi mno ani alafu mm nimeenda hewani kinyama, basi nikasema ngoja nifumbe macho niwe nakula mzigo but no future, duuh.... nikawa nakula mzigo aisee alafu dogo akalewa mapenzi kinyama akawa kama mtumwa wa mapenzi kwangu alafu mim hata future nae sina nikawa tu namhurumia kimoyo moyo, sasa ilifikia time kama baada ya mwaka mmoja nikamchoka nikawa natafta sababu za kumwacha, nilitumia njia nyingi mno lakin dogo haachiki anang'ang'ania tu tena ananitishia kuwa atajiua mpaka some time akawa anakuja na vidonge vya panya kwangu ili anywe mbele angu afe sasa na mm naogopa kuwa chanzo cha mauaji, ilifikia time nikamchana live kuwa mm sina hisia kabisa na ww saiv nakuona kama mwanaume mwenzangu, kidizain flan ilikuwa n kauli ngum sana kwake lakin bado hakufa moyo, baadae huo mtihan nilikuwa kuufuzu baada ya mm kuja zanzibar kwa mda na yy nikamwacha arusha ila bado huwa ananipgia cm mpaka leo na sipokeagi wala kujibu txt
Duih wewe muuaji, ulikuwa na nafasi ya kumkataa kuliko kupanga kuja kumuumiza baadae.
Kwani wanaume wengi hatuna huruma?.

Niliwahi kudeti na binti flani Mnyarwanda, huyu tulikutana maeneo pendwa ya burudani.
Hivyo uhusiano wetu ulikuwa wa kimazingira.
Lakini tulijikuta tumeshibana na sana.
Akawa ananifuata hadi Tz.
Kuna siku nikamwambia pamoja na uhusiano wetu naomba tuzungumzie future yetu.
Nilimweleza kuwa sisi tutakuwa marafiki wa kawaida tu hadi hapo utakapopata mwenza nami vilevile.
Alilia sana na kusema...hivi kwanini kila nikipata mtu ambaye naona nimefika najikuta nimedondoka?
Nilimtuliza muda mrefu sana na kumtia moyo na mwishowe tukaishia paradise
Tulikaa siku 2 zaidi akarudi nchini kwao.
Hatukuonana tena japo mawasiliano hayajakoma, utapita muda mrefu lkn lazima anikumbuke.

Kwako nakulaumu kwani tangu mwanzo hukumpenda na ulimchana vibaya sana, hiyo hali haitamtoka.
 
Back
Top Bottom