Ngoja nipambane na Memkwa namimi nifike hukoDuh labda ,ila ningekua kidume nisingejali hizo nyodo ningekua nashusha mistari mpk wananikubali, afu hao wenye nyodo ndyo rahisi kuwapata, wanatumia nyodo kama defence mechanism ila kiuhalisia ni rahisi ,so usiogopee jombii
Yaaan Mapenz hayaa ya sasa Chapaa tuu ndo anatulzaa mtoto ila kama azpo ukiambiwa kuna true love hapo doubt labda ikute kwao zipooBack then akanidump....nikakubali kibuti. Ila nasikia kuna kibabu cha kizungu ndo kinammiliki kwa sasa na wapo huko nchi moja ya Asia.
Komaa upige comeback za Man UNajipanga,Nipo mwaka wa kwanza ila naamini sitatoka na cleansheet.!
CoET wengi wazembe tuNiliwahi kaa na mdau wa COET naleta mademu wengi room nikizani mdau ata jiongeza wapi mara wamuombe PC wachek ila kijana alikuwa mzito mno then cleenshit ilimuhusu
Duh labda ,ila ningekua kidume nisingejali hizo nyodo ningekua nashusha mistari mpk wananikubali, afu hao wenye nyodo ndyo rahisi kuwapata, wanatumia nyodo kama defence mechanism ila kiuhalisia ni rahisi ,so usiogopee jombii