Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
832
Reaction score
996
Habari ya wakati wana MMU.
Ni matumaini ya wengi,mimi nikiwa miongoni mwao kuwa maisha yetu ya chuo kikuu tungeweza kupata wenza wetu au vident vya kula navyo bata.

Nilisoma kwa juhudi sana O'level na Advance(uboizini) ili nitusue niingie chuo.Story za kitaa ziliongeza shauku yangu ya kutimba chuo. Nilikuwa najisemea huko nitaenda kuyaishi maisha ya chuo ipasavyo.

Naingia chuo ninamalengo ya kupata joho na ubavu wangu. Ila mambo yameenda tofauti kabisa miaka minne pale CoET lakini nimetoka na cleansheet sijapata hata Du mmoja.

Game inaisha nimepigwa 4-0 na joho langu mkononi.
 
Somo la girlfriend 101 nilisup na nika disco mapema tuu...

Hapa hata sisi wengine tutjifanya tulifikaga chuo...love JF fake till you make it
 
Clean sheet ukimaanisha kwamba miaka yako yote ya chuo hujawahi kulala na mwanamke?


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom