Kama wewe Manyerere Jackton umesoma Tambaza basi shule hiyo ilikuwa mbovu tangu zamani na lilikuwa swala la muda tu.
Last edited by a moderator:
Kijana, Tambaza has been there since miaka ya sitini, ikiwa Aga Khan na badae TambazaMimi naomba kukuuliza, hivi ni mwaka gani na matokeo ya ngazi ipi yashawahi kuiingiza Shule ya Sekondari Tambaza kwenye Ishirini Bora Kitaifa? (Nikikuuliza kumi bora nahisi nitakuwa nimekuonea...
Wu-Tamba ya wakati huo walikuwa ni wanafunzi wanaosifika kwa fujo hadi kupelekea kufungwa na baadaye kufanywa shule ya kidato cha tano na sita tu...
Waraka huu ni kwa wana Tambaza wote-wale tuliosoma hapo zamani, na hawa wanaoendelea kutia aibu. Shule ya Sekondari Tambaza iliheshika sana kwa kuwa na VIPANGA wa ukweli. Imetoa watu maarufu sana ambao wameshika nyadhifa mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
Tambaza ilikuwa ya watu ambao akili zao zilikata kama wembe! Hawakukubali kuchokozwa. Kwa sababu ya sayansi, walifikia hatua ya kutengeneza hata mabomu. Muziki wao unajulikana sana kwa shule zote za Dar es Salaam za wakati huo. Baada ya mwaka 1992 shule hii ikawa ya kidato cha nne na tano tu. Wakaanza kuvaa suruali. Walimu wakapelekwa wengine kabisa. Wanafunzi wakaanza kula chips. Wakapuuza kwenda kupiga dua kwenye kaburi la Mzee Tambaza! Hapo ukawa mwisho wa umaarufu wake, na sasa tumeona matokeo yake. Aibu tupu.
Nawaomba jamaa zangu kina Michael, Chuwa, Mjuba, Bob Rich, Mashaka Mgeta, Bob Chura, kundi zima la R4P MOB (Rujumu for Power), Kyaro na wagumu wengine wote tujitokeze kuhoji uhalali wa matokeo haya! Ni aibu.
inasikitisha wazazi wanahaha kuhamisha watoto shule hasa waliokua wamechaguliwa kuingia kidato cha 5
i can imagine,! Inasikitisha sana,, siasa zinaangamiza elimu..,
inasikitisha wazazi wanahaha kuhamisha watoto shule hasa waliokua wamechaguliwa kuingia kidato cha 5
HOE umesoma hapo?
kusoma wapi
Kijana, Tambaza has been there since miaka ya sitini, ikiwa Aga Khan na badae Tambaza
kwa tuliosoma Tambaza ya 80's labda nikuambie tu Tambaza ilikua inakuwemo kwenye top ten ya A-level PCM and PCB... hadi early 90's Tambaza ilikua kinara wa masomo ya sayansi, hiyo ni kabla ya special schools kuja; ikiwa pamoja na Mazengo, Moshi Tech, Kibaha, Ilboru, na shule nyingine za wasichana na za ufundi
It is also imprtant kujua kwamba tulichoona miaka ya tisini hadi kupelekea kufunga O level tambaza sio fair represnetation of a school with over 50 year history, huo utakua ni ukosefu wa uelewa na historia ya shule...
Hata pamoja na fujo zote, Tambaza A-level remained a very unique group of students in dar Es Salaam until walipofungulia mbwa na kufunga o level
Take time to know something kabla hujajidanganya zaidi
Dahh sjaamn kwa kwel.. Nmemalza 2010 pale tho hatukufaulu wote ila hii ss too much..... Aibu;fedheha n
Sad sad sad....