Tuliosoma nao wakishakuwa Madaktari wa Falsafa(PhD) wanajikuta sana. Hivi inawasaidia nini?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Wasalaam JF,

Bila wivu ila ukweli usemwe, hawa jamaa tuliosoma nao primary, secondary na vyuo, akishapata udaktari wa Falsafa yaani PhD au uprofessa wanajikuta sana, wanajiona kama elimu yake ni uboss wakati elimu ni yake na maisha ni yake, kama wewe ni Frank, Anna, Rachel , Juma hilo ndio jina lako sasa sijui shida ni nini.

Huu upuuzi vipi huwa mnakutana nao?

Wadiz
 
Unakuta hata maisha namzidi na elimu Nina masters kali tu na elimu zangu zote za mamtoni mbele huko na sina maringo, na najimudu halafu unakuta kijimtu kisa tu zamani nilimkimbiza kimasomo shule basi kimepata PhD kinajikutaaa, mimi nawacheka, nswaulizaga what reforms you have had with ur PhD, what unique life proposition are you proud of?, si kwa ubaya ila PhD yake mimi hainihusu.

A PhD is not a jack of trades, PhD is not intelligence and isn't genius
 
Mkuu soma tu, acha makasiriko.. mie mwenyewe naisaka Phd na ninajuta sana kutoipata hadi mda huu.. nilifanya uzembe.. Na kama hupendi kusoma basi usiwaonee nongwa wenye nazo na wanazo zisaka maisha ni uchaguzi tu
They are not everything, PhD is nothing isn't life isn't respect, isn't money, it's just a certificate /qualification, it's not food, it's not intelligence or genius
 
Unakuta hata maisha namzidi na elimu Nina masters kali tu na elimu zangu zote za mamtoni mbele huko na sina maringo, na najimudu halafu unakuta kijimtu kisa tu zamani nilimkimbiza kimasomo shule basi kimepata PhD kinajikutaaa, mimi nawacheka, nswaulizaga what reforms you have had with ur PhD, what unique life proposition are you proud of?, si kwa ubaya ila PhD yake mimi hainihusu.

A PhD is not a jack of trades, PhD is not intelligence and isn't genius
Wewe ni mpuuzi tu. Unadhani PhD ya ukweli inapatikana kama njugu! Jiongeze nawe uipate ili mbele ya jina lako uanze na Dr.
1676561466714.png
1676561466714.png
 
Nani huyo Phd amekukwanza au ni Mwigulu ?
Mmoja wao ni Mwigulu elimu yangu ya uchumi ni Kali kumzidi, hawa wengine tunaokutana nao kwenye maeneo yetu, vina mshahara Milioni 4 hadi 5 vinavimba sasa huo mshahara au pesa ya kulimia tu na vibarua wangu.

Kuna mmoja nilishamuuliza na maringo yako ya hiko PhD unaweza kunywa Hennessy kila siku na mchepuko kila siku akabaki lofa tu, PhD ni ofisini kwako sio kitaa
 
Unakuta hata maisha namzidi na elimu Nina masters kali tu na elimu zangu zote za mamtoni mbele huko na sina maringo, na najimudu halafu unakuta kijimtu kisa tu zamani nilimkimbiza kimasomo shule basi kimepata PhD kinajikutaaa, mimi nawacheka, nswaulizaga what reforms you have had with ur PhD, what unique life proposition are you proud of?, si kwa ubaya ila PhD yake mimi hainihusu.

A PhD is not a jack of trades, PhD is not intelligence and isn't genius
Halafu PHd zenyewe za kiswahili ama historia hana analoliweza zaidi ya kuwa mwalimu chuokikuu
 
Back
Top Bottom