Tuliopoteza Vyeti Vs Changamoto za Necta

Tuliopoteza Vyeti Vs Changamoto za Necta

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Nilipoteza cheti changu cha kidato cha nne Cha 1990
Necta wanasema hawatoi tena vyeti vilivyopotea vya kuanzia mwaka 2000 kurudi nyuma,isipokua baada ya kujiridhisha watampa wao mwajiri statement of results direct
Upande wa Sekretarieti ya Ajira hapo Utumishi katika matangazo yao ya kazi wanasisitiza mwombaji aambatanishe cheti na si statement of results!
Tayari hapo kuna makinzano ambayo yamenichanganya Mimi na pengine wengine wengi
Naomba aliyepitia changamoto hii anisaidie jinsi gani alitatua hili maana sasa tunashindwa hata kuomba kazi kwa kukosa vyeti
Masada tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni changamoto Kubwa..... Mifumo ya Ki electronic haina msaada kwa Wazee wa NECTA..... something is very wrong ...tuombe SIKU uncle MAGU apite kuwahoji...ndio watajiongeza.... kama wangekuwa smart...hii ilikuwa ni njia ya kuongeza mapato...wanaopoteza vyeti ...wangeandaa utaratibu mzuri wa ku confirm their identity then wawape vingine kwa gharama fulani yenye maslahi kwao.... sasa waajiriwa wa NECTA they solely relay on TAX payers money as results wamekuwa BONGO LALA
 
Kama ulimaliza form four (F4) mwaka 1990 na bado unatafuta ajira serikalini aisee jitathmini, kuna sehemu hukuwajibika ipasavyo.
Watu wanamna hii ndiyo wanakufaga maskini hawezi kupata utajiri hata wa bahati mbaya.
 
Aa babu ilibidi uwe umeshatengeneza ajira za kuajiri vijana wako now. Obviously hupungui 45 (90 form four hapo ulikwa na 17+ then ongeza na miaka 29.. Bado kale kakigezo maarufu ka umri hujakapoteza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee jaribu kufanya kazi nyingine haiwezekani umalize f4 mwaka 1990 halafu bado unazisumbua server za serikali ukiomba ajira,ona aibu basi hata kidogi
 
Jaman mnaomshangaa huyu mwenzetu, sizani kama hana kaz bwana, ila kuna kubadilisha sehemu ya kaz, unakuta sehemu nyingne wametangaza wanahitaji meneja au mkurugenz kwahyo asi apply?
 
Jaman mnaomshangaa huyu mwenzetu, sizani kama hana kaz bwana, ila kuna kubadilisha sehemu ya kaz, unakuta sehemu nyingne wametangaza wanahitaji meneja au mkurugenz kwahyo asi apply?
Wewe umeongea
Nini cha ajabu? Hadi Leo hamuwashangai akina
George mkuchika
Anna abdalah
Makinda
Na wengine wengi hawa mpaka Leo wanapiga mzigo serikalini na wameanza ajira hata kabla Mimi sijazaliwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeongea
Nini cha ajabu? Hadi Leo hamuwashangai akina
George mkuchika
Anna abdalah
Makinda
Na wengine wengi hawa mpaka Leo wanapiga mzigo serikalini na wameanza ajira hata kabla Mimi sijazaliwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani anaejua taratibu za kufuata atueleze basi maana naona mada inahamia kwa aliye maliza shule miaka ya 1990.
 
Ni changamoto Kubwa..... Mifumo ya Ki electronic haina msaada kwa Wazee wa NECTA..... something is very wrong ...tuombe SIKU uncle MAGU apite kuwahoji...ndio watajiongeza.... kama wangekuwa smart...hii ilikuwa ni njia ya kuongeza mapato...wanaopoteza vyeti ...wangeandaa utaratibu mzuri wa ku confirm their identity then wawape vingine kwa gharama fulani yenye maslahi kwao.... sasa waajiriwa wa NECTA they solely relay on TAX payers money as results wamekuwa BONGO LALA
Electronic bongo bado sana. Ushahidi ni NIDA
 
Back
Top Bottom