Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,970
Kaa kimya kama haikuhusuHopeless
Acha kukariri maisha. Angalia salio lakoEndelea kula za uso kutoka serikali inayopendwa na watu,nani akuongeze tena wakati tumeongeza Tsh7,000.
Na ukidai Annual Icrement tutakupiga risasi hadharani.
Acha kukariri maisha. Angalia salio lako
Mkuu, Hutaona mtu hata kama watu wamepokea.
Kwa sababu, fununu zinasema wengi wa wafanyakazi wanadaiwa madeni na jamaa na marafiki zao hivyo ni ngumu sana kukubaliana na ombi lako.
Vyuma vimekaza.
Increment ya pili??? Wakati hiyo moja ni kiduchu tunalalamika. Hongera kwa kupata increment mbili. Wengi wetu tumejawa hasira tu.Juzi siku ya mwisho wa mwezi November, Serikali iliongeza increment kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja ulioisha wa November.
Watumishi wengi hawajajua kama kuna salio la pili limeongezeka, kutokana na hasira za increment ndogo ya mara ya kwanza.
Kama wewe umepokea increment ya pili, njoo hapa tukutane.
Increment ya pili??? Wakati hiyo moja ni kiduchu tunalalamika. Hongera kwa kupata increment mbili. Wengi wetu tumejawa hasira tu.
Wewe CCM unatakiwa upigwe ban ya uhakika.Kaa kimya kama haikuhusu
Kwanini wanakopa na mshahara wanapata kila mwezi.
The reason behind is a poor financial management at individual basis.
Kwani pia, unadhania ni wote wanaokopa!?
Du yaani kukopa ni uzembe??? Issue iwe anakopa anaizalishaje ili kukuza kipato chake, lakini kusema eti kukopa ni uzembe huo ni ufinyu wa mawazo hata wafanyabiashara wanakopa kukuza biashara zao, je serikali inakusanya mapato kila siku na inakopa na sio TZ tu nao ni uzembe??? Amka!Hapo sawa kumbe ni uzembe tu.
Soma hapo juu kibaka wewe sio unadakia bila kuelewa.Mkuu, Hutaona mtu hata kama watu wamepokea.
Kwa sababu, fununu zinasema wengi wa wafanyakazi wanadaiwa madeni na jamaa na marafiki zao hivyo ni ngumu sana kukubaliana na ombi lako.
Vyuma vimekaza.
Du yaani kukopa ni uzembe??? Issue iwe anakopa anaizalishaje ili kukuza kipato chake, lakini kusema eti kukopa ni uzembe huo ni ufinyu wa mawazo hata wafanyabiashara wanakopa kukuza biashara zao, je serikali inakusanya mapato kila siku na inakopa na sio TZ tu nao ni uzembe??? Amka!
Wamekuongezea shlng ngapi mkuuJuzi siku ya mwisho wa mwezi November, Serikali iliongeza increment kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja ulioisha wa November.
Watumishi wengi hawajajua kama kuna salio la pili limeongezeka, kutokana na hasira za increment ndogo ya mara ya kwanza.
Kama wewe umepokea increment ya pili, njoo hapa tukutane.
Asante mkuu.....soma nawe hiyo!Kwanini wanakopa na mshahara wanapata kila mwezi.
Rudia na hii halafu utaona nani kibaka!Hapo sawa kumbe ni uzembe tu.
Asante mkuu.....soma nawe hiyo!