Habari, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji wote tuliopitia TARIME SEC tukumbushane maisha ya pale, either ulipitia O level au hata A level.
Habari,
Kama kicha cha thread kinavyojieleza nahitaji wote tuliopitia TARIME SEC tukumbushane maisha ya pale, either ulipitia O level au hata A level.
Karibuni.
Humu watu waliopita TARIME sec tupo wachache Sana nimepita pale, Nikapoa Jitegemee nikamaliziaa UJAMAA!! Ile shule Ina kazi Sana chini ya Mwalimu Wambura Gaddafi utafyeka hadi uote sugu mikono
Ni Matiko Mkuu, Mzee alizingua Sana hasa Graduation yetu 2014 sitasahau Ila nasikia aliomba kuhama akaletwa mwingine Toka Mara Sec na wameongeza Combination Kama HGE na EGM Kama sijakosea