Didybabuuh
Member
- Dec 19, 2013
- 13
- 0
Jaman naomba kuuliza wale tuliopata Barclays bank tukaambiwa tutapigiwa simu siku ya kuanza kazi vp kuna mtu ameshapigiwa teyari? au mwenye taarifa yeyoto plz inform
guys tujaribuni kua serious na watu wazima mtuakipost kitu msilete utani sana kama huna information nacho jst be kimya thanx.
Jaman naomba kuuliza wale tuliopata Barclays bank tukaambiwa tutapigiwa simu siku ya kuanza kazi vp kuna mtu ameshapigiwa teyari? au mwenye taarifa yeyoto plz inform
nashukuru sana kwa taarifa ndugu yangu ntakutafuta hivi ni za mkoa au hapahapa?
Mi shemeji yangu kashaitwa kapangiwa headquarter, rafiki yake mmoja kapangiwa Magomeni na mwingine Zanzibar. sasa sijui kama mlifanya interview pamoja au yeye aliwatangulia.
Sijaelewa una maana gani mkuu....embu andika vizur bac au fafanua kabisa maana yake make naona kama una point fulan ambayo hujaiandika vizuri tu.Hizi ni ajira zile 1m za kikwetee
Mlifanimiwa endeleeni kumtukanaaa
Kuna wengine walitangulia kufanya interview mkubwa, kwani wameitwa lini? Na je wameshaanza huko walikopangiwa?
Uanze tar10 akati ata contract hujasign na hujui ulikopangwa?