mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
WanaYanga nadhani kesho ni muda wakuonyesha mshikamano wenu kwa kuwasindikiza Rs Berkane hata Kama wamefungwa wasindikizeni tu maana mliwapokea kwa shangwe
Ngoja kwanza nimalizie kumpa ng'ombe wangu majani halafu tuwasindikize kama tulivyowapokeaWanaYanga nadhani kesho ni muda wakuonyesha mshikamano wenu kwa kuwasindikiza Rs Berkane hata Kama wamefungwa wasindikizeni tu maana mliwapokea kwa shangwe
Fanya harakaNgoja kwanza nimalizie kumpa ng'ombe wangu majani halafu tuwasindikize kama tulivyowapokea
View attachment 2149322