Tulioharakia kuoa tukutane hapa

Punguza UONGO..

Hakuna kuoa.
"USIOE, USIOE"

#YNWA
 
Pole ase Bro, Miaka mitatu sio Kipimo cha kujua kwamba umekosea ama umepatia.
 
Usiombee uoe mwanamke anyedanga mpaka kwenye ndoa, pamoja na kukiri kwenye viapo still bado hawajui kupanda na kushuka.
 
Umemuelewa?

Kuwahi kuoa ni sawa na kuondoka disco saa 3 ambapo ndio linakuwa limeanza kuchanganya.

Unaoa una miaka 22-26 hapa ndio kwanza umri wa kuruka ruka na mbususu tofauti.
Starehe hazina mwisho
 
Yani we mtoto mdogo hivi umeoa, ngoja namimi tukubaliane na babee wangu wa Jf tumalize tofauti zetu mwaka huu nmpeleke kwa mama mkwe.
 
29 bado uhaba wa kupata mbususu ndo unawafanya mkimbilie kuowa baada ya muda mnaanza kuuwana....

Kijana mkwe wako hakuuchukii anataka ujipange kwanza...
 
Hongera sana
 
Bado dogo wewe
 
Kama ulipata mwema wala hutojutia ni ile unawahi afu humo ndani hakukaliki ""##kirambasi###unatamani ufe na hufi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…