Tulioharakia kuoa tukutane hapa

Acha kudanganya watu eti tunaruka ruka tu
 
Hapa ni mwendo wa kula mbususu hamna kuoa hawa wanawake
 
Inategemea pia umemua nani?
Yoyote yule, wanawake wazuri kila siku unapotembea unakutana nao kwaiyo utajikuta unajiona kwanini nimewahi kuoa na unaweza kumpata dem wa nje mzuri kumzidi mkeo wakatofautia tabia ukajuta kwanini uliwahi kuoa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri haukomazi akili mkuu ni uwezo tu wa kuchanganua mambo
 
Sasa huko nako ni PEPO la ngono na uhasherati yaan utakuwa hujui sasa ni nini kusudio la Mungu kukuleta hapa duniani na utashawishiwa na umalaya 😂😂 unatakiwa uridhike na ukipatacho
 
Umemuelewa?

Kuwahi kuoa ni sawa na kuondoka disco saa 3 ambapo ndio linakuwa limeanza kuchanganya.

Unaoa una miaka 22-26 hapa ndio kwanza umri wa kuruka ruka na mbususu tofauti.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…