Tulioharakia kuoa tukutane hapa


Waliooa wengi wanakasumba ya kulazimisha watu waoe!!… sielewagi nn shida utafikiri kuna kitu wanaongezewa mtu ukioa…

Kuna jamaa kila tukiongea ndo mada zake we oa mbna hujaoa?? Sijui ukioa haka kaugonjwa ka akili kanakupata
 
Hongera zenu, na kila la Kheri! Cha muhimu nibiuwa una ajira, hayo ya tamisemi si ajabu yakawavuruga Kwa kupangiwa sehemu zisizoeleweka, na malipo ya kubahatisha. Jiimarisheni kiuchumi kwa chochote mnachopata, fanya tuition kama muda unaruhusu n.k.
 
Naona ulioa mapema kwasababu ya ugeni wako penzini, ila kama ingetokea uachane na huyo mkeo kabla ya kuoana nae basi naamini ungeendelea kuwabadilisha tu.
Ukipendwa, na wewe upende, sio kucheza.
 
Kuna mtoto wa uncle wangu alilazimishaga kuoa mapema akiwa na 24 alishauriwa asubiri ye akakomaa 

Siku moja baada ya miez Kama 6 ya ndoa alinitamkia mwenyewe kuwa Kuishi na mwanamke ni kazi sana akiwa anakuja geto unamchakata Mara kakusaidia kukunja nguo kufuta vumbi utaona raha sana maana hapo unakua unauona upande mmoja tu wa uzuri wake ila ishi nae uone na upande wa mabaya au udhaifu wake uone jinsi utakavyo mchoka haraka.

Kuna muda kwenye ndoa Mapenzi yanaisha kabisa inabaki uvumilivu , hapa sasa Kama bado unaakili za kitoto na huna busara unaweza kujikuta umeshaachana na mwanamke. Kuliko kuoa mapema ni Bora usubiri ufike umri fulani ukomae kiakili na uwe na busara ya kuishi na mwanamke
 
Nilioa nikiwa na 24 hivi, sijajuta hata siku moja. Kwanza nilikuwa tayari nina ajira ya uhakika. Na mke wangu alikuwa ni mwajiriwa pia halafu aged kama 29 hivi.

Full utulivu na jimama langu, linafahamu maisha ni nini. Hakuna shida.
 
waliooa wengi wanakasumba ya kulazimisha watu waoe!!… sielewagi nn shida utafikiri kuna kitu wanaongezewa mtu ukioa…
Kuna jamaa kila tukiongea ndo mada zake we oa mbna hujaoa??
sijui ukioa haka kaugonjwa ka akili kanakupata
Misery loves company.
 
Huu uzi uitwe "NYEGE INFLUENTIALS"!😂😂😂
 
Maisha ya mwanaume yanaazna pale anapooa so ww kama ni bachelor jua kabisa hauishi unaruka ruka tu.

Pili watu wengi wanazani kuchelewa kuona kuna afazali laa sio kweli, siku zote mapito ya ndoa ni yale yale yaani mkiona mkiwa watu wazima kupitia kipindi kigumu ni vile vile hata mkiooana mkiwa watoto mtapitia tu lakni anaafadhali yule atakayelia ndoa ngumu akiwa na 25yrs kuliko yule atakayelia akiwa na 40yrs yaani umri wa baba kuitwa babu ww utakuwa unalia kwa machungu ya ndoa tena kwa kipindi icho utakuta umeoa kadem ka 24yrs so unalia kwa kadem ka 24[emoji28][emoji28][emoji28] so sad.

Mwisho tu kuoa kwa mwanaume aliyekamilika kupo tu na hakukwepeki kula wanawake kadri uwezavyo lakn jua kuna mda utaowa tuu
 
Shukran mkuu,, cha ajabu sas tangu nioe nikitongoza dem anakataa maana mwanamk ananyonyesh kwasas
Kwa hiyo unasubiri hadi mtoto aache kunyonya ndio uanze kula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…