Chapa kaaaaziNilifoji cheti na sasa naendelea kuchapa kazi kama mkuu alivo sema.
Tuendelee kuchapa kazii
nasikitika sana wale waliokimbia mapema baada ya tangazo la mkuu kutoka .sisi tulio baki tuna peta tu kwa raha zetu chini ya ungalizi wa mkuu wa nchiTz waliofoji vieti niwengi sana, na rahisi analifaham sana hilo. nawafaham watu wengi sana walifoki vieti na Leo wengi wao wana kazi nzuri nzuri. ilo siotatizo la MAKONDA ao MAGUFULI. Bali nimfumo wa serekali zilizo pita. huko jeshini ndio usisemi warundi nawa nyarwanda wamejazana huku, kwa style iyoiyo yaku foji vieti. so tuchukulie nijambo lakawaida.
sasa tuna kula kivulini kwa raha na mstareheNilifoji cheti na sasa naendelea kuchapa kazi kama mkuu alivo sema.
Tuendelee kuchapa kazii
icho cheti chako original kafungie maandazikweli we kubwa jinga
tena waambie wasiwe na wasiwasi mambo yametulia mwenye kiti wetu kasharekebisha kila kitu mambo mtelemko yani tupigeni kazi kwa kwenda mbeleTuliofoji naomba tuache kujifichaficha hebu tujitokezen waungwana kumtetea m/kiti wetu Albert/Paul na huu umoja una nguvu sana kwa sababu una baraka zote za mkemia mwenye Phd yake sasa sijui nae ni miongoni mwetu ila kwa sasa M/kit wetu ni Bashite nilijua tu mtaanza kututamani...msisahau pia tuko na member mwenzetu hapa jf anaejiita Cococh..karibun hakuna kiingilio
ondoa shaka mkuu mwenye kiti atalekebisha muda sio mrefuMwezi huu sijapata mshahara serikalini, historia yangu na ya bashite zina fanana.. naona watakuwa washanikata tayari..!!
ondoa shaka mkuu ata mwenye kiti ana majina mengi tu piga kazi mkuuMi nilifoji cheti nicheze copa coca cola under 17 nilifanikiwa kwenda hadi ngazi ya taifa kwa jina la mtu mwingine
wape ujumbe wengine wajitokeze wa siwe na wasinipo nmefoji pia
kidumu miaka miaaaaaKwakweli CCM oyeeeeeeeeee... kidumu chama cha magufuli.
wakati wanafukuzwa umoja wetu ulikua aujatengemaa lakini kwa mambo yote yapo sawa na wote watajulishwa na watarudi mavyuoni na makazini kama kawaida.Hoja itakuwa na maana sana kama tu na wale waliofukuzwa kazini na vyuoni nao watarudishwa kazini au ktk vyuo vyao. Maana awali ilionekana kufoji ni tatizo na wengi pia wamefunguliwa mashitaka sasa iweje wengine.
yote yalikua trailer picha lenyewe linakuja karibuni'karibuni, watu wapo location*Bongowood2017*
season 1-madawa ya kulevya..
season 2-vyeti feki vya paul makonda
season 3-mtoto feki wa gwajima
season 4-uvamizi clouds
season 5-Makonda chapa kazi
season 6-tume ya nape kufanya kazi
season 7-Napee kwishneyi
Season 8-Magazeti yamkera magufuli
season 9- Nape anyooshewa bastola
season 10- magufuli ana shoot scene mpya bandarini
season 11-Kinana anatumwa kutibiwa India
usikose season 12*
hata huku tupo wa kumwaga tuNenda kwenye page ya mwenyekiti wenu kule insta mpo wengi mbona
Alipo Bashite ndiyo KolomijeNendeni Kolomije huko hapa mjini hapawafai