Wasalaam nyote,
Hivi,katika sie tulofanya interview pale kwa academic posts na zile nyingine kuna yeyote ameshaitwa?
Nataka kujua kama ndo nshakoza kazi au niendelee kuhope.
Na km bado kuna mwenye idea wanaeza kuita lin walofanikiwa?

Naomba kuuliza Hiyo interview ni ile ya Open University waliyokuwa wanatafuta watumishi ktk kada mbalimbali ambayo walitangaza kama miez miwili iliyopita.?