Tar 29,lazma uende na result slip ya form six ndg!!jamani kama kuna anayejua tarehe ya kuwasili chuo kikuu cha UDSM tuhabarishane
Na je chuo tunahitajika kwenda na result slip ya form six au cheti??!
Bora umemwambia maana Hawa madogo ndo zao ila wajue Chuo s kulala lala tu, zile bata walizoambiwa ni Sup, Carry over na Mwishowe DiscoKuna mwenzako amedisco ,juzi kaanzisha uzi wa kulia lia humu tumshauri na alikuja na mbwe mbwe kama zako.
Vijana someni acheni sifa za kijinga.
happenedHahaaaa karibu udsm, chuo cha bataa tu, tukutane mliman city na kina bashite akiwa anawakaribisha kwenye jiji lake,
badoWakuu, hivi mzumbe second selection wameshatoa??