ingia google search utakuta link.matokeo mnayapataje mbona nikifungua cas naambiwa nimeshachaguliwa ila nisubiri yatangazwe
ingia google search utakuta link.
Mta enjoy sana UDOM
Jiandaeni kulipa pesa ya bima laki nzima ilihali wenzenu wa vyuo vingine wanalipa elfu hamsini
UDOM bana,chenga sana pale
UDOM hostel zakutosha,mazingira mazuri ya kusomea,internet ni full kwa wapenda movie ni kudownload tumaseries,cafetaria zakutosha,bata linalika sana club 7,club 84,maisha club,..totoz za cbe,mipango na st.john kibao..mungu akupe nini tena?
Nilifikiri utawaambia library nzuri ina vitabu vya kutosha
Na internet ipo kwaajili ua research nakudownload vitabu na kusoma vitabu online kama google books.
Kwahali yakula bata chuo nafikiri ushauri waajabu huo.
>Library ipo japo vitabu havipo vya kutosha na vyenye kiwangoNilifikiri utawaambia library nzuri ina vitabu vya kutosha