Tuliobeti makarani wa sensa tukutane hapa

Tuliobeti makarani wa sensa tukutane hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Nilikuwa nawaza inakuaje kuaje mpaka hii sensa iishe nisibeti ata karani mmoja wa kuja kuniesabisha gheto,

Sasa leo kama bahati nimembeti mmoja,nimekutana nae maeneo wakati niko njiani naelekea kazini kwangu kufungua kiwanda,

Nilimkuta anaangaika kugonga geti ili aingie kuhesabu watu, sikusita nilimsogelea tu nikampa hi, story mbili tatu nikasepa na namba,

Mchana nimemcheki kasema nisikilizie jioni akimaliza kazi ndio tuongee kwa kina,

Kusema kweli amenitia hamasa kitu ambacho niseme wazi siwezi kumuacha lazima nimchakate ata kwa ndumba.

Nasubiri tu muda ufike nianze kubonga nae.


Cc Zero IQ
 
Kwan karani ni mtu aleshushwa kutoka juu?
si tunaishi nao??
 
Siku hizi nyuzi za hivi hazina tena wachangiaji rundo
 
Zero huyo manzi atakuwa anajua na anakutambua una goli la vihebe hapo American chips kwa bonge si bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom