ANTHONY KWEKA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 957
- 379
inawezekana mboona na huwa inatokeaIv uki apply vyuo vya government inaeza ikatokea usichaguliwe hata kimoja hata kam una sifa zote....mfano mm nime apply vyuo vitano
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea saana ushindani wa kozi.. na vigezo vya fani husika.
imewahi kunitikea 2015.
Sent using Jamii Forums mobile app