Tulioamua kuishi single baada ya kuacha wake zetu tukutane hapa

kama una pepo binadamu usameheana ata we una madhaifu utamwacha uyo alafu utapata kituko show bora umwombe Mungu maana siamin kama utavumilia kuwa mwenyewe au umepata mchepuko maana nikama unalishabikia angalia mbele
 
Naamini upande wa mwanamke haiwezi kuwa kizuizi maana mara kibao tumekuwa tukikorofishana na anayapeleka huko na wao wanasema sisi ndio wenye maamuzi
Na mbaya zaidi hata huko kwao wanaachwa sana wanawake wako single tu

Kweli mapenzi upofu. Yaani hili la wao kuachwa sana hukulishtukia hapo mwanzoni! Pole sana
 
Mwaka wa tano sasa with happy life na yeye anachapwa na fimbo ya MUNGU
 
Mke wangu alitangulia mbele ya haki
Daahhhh pole sana mkuuu !!!.


But the only thing nikwamba kama umri wako bado You jus marry coz kutangulia mbele yahaki nikazi ya Mungu.

Nakama unaamua kua Singo basi uwe singo nasio kuangaika sana mwisho unavuruga Reputation yako kwa watoto au jamiii yako, so kuepuka nahayo nivema Uchague mwanamke wako then muweke ndani ...wakat mwingine hawa *wanawake wema * huwa wanatusaidia sana hata ktk Ushauri.
 
Karibu mkuu. Me nimeanza hii safari toka 1January baada ya kushudia akigegedwa.


geeeezzzzz ..pole aiseeee
nahongera kwakuendelea kuwa hai..ama uraiani
maana Luna wengine hushindwa kuvumilia nakujiua nawengine kuua kbisa
 
Back
Top Bottom