Tulio wahi kufika kilele cha mlima tukutane hapa!

Kuna route fulani huwa haziishi dakika tatu hadi huwa nashangaa, halafu kuna ile nyingine hadi naulizwa imekuwaje Leo tumechelewa kufika? Njaa nayo inaanza kunyemelea bila kujali umemaliza kula punde. Hizi route bwana zinahitaji uenyeji tu!
 
Nina amaniii...
Nina amani..
Nina amani mimi, nina amani
Tangu nimpokee bwana Yesuuuu, nina amani...
Nasonga mbelee..., nasonga mbele
Nasonga mbele mimii.., nasonga mbelee.
Tangu nimpokee Bwana Yesu, nasonga mbelee.
Jamani nimekumbuka hii nyimbo mwenye nayo naomba aniwekee hapa
 
dah nshawahi kufika, tena vilele vyote vya mt KLM nimefika , ukipita marangu ni rahidi kuliko njia ya mweka na rombo au machame ,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom