Tulio wahi kufika kilele cha mlima tukutane hapa!


Jozay joo

Jozay joo

Senior Member
Joined
May 26, 2017
Messages
193
Likes
228
Points
60
Jozay joo

Jozay joo

Senior Member
Joined May 26, 2017
193 228 60
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,
Katika kuzungukia hazina za mwenyezi mungu na Kwa utafiti niliofanya nimegundua wanawake na wanaume wengi hawajawahi kufika kileleni kwa sababu mbali mbali ikiwemo
- unene uliopitiliza
- lishe duni na nyinginezo unazofahamu wewe

Kwakweli kufika kileleni raha sana asikuambie mtu,

+ Dalili zitakazo kutambulisha kua umefika kileleni ni hizi zifuatazo

1. Ukifika kileleni kama umevaa sketi au shati utaona kama linapeperuka hivi
2. Ukiangalia chini ulikotoka , kama kuna nyumba utaona kama vijiwe vidogo dogo na Miti mikubwa vivyo hivyo
3. Utaona hali ya hewa inabadilika na kua na baridi tofauti na ulikotoka
4, kama ni muoga utahisi kizungu zungu .
 
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
574
Likes
408
Points
80
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
574 408 80
Safi kilele gani unamaanisha cha nyama pendwa au k/njaro..??
jibu tuendelee
 
Black Coffee

Black Coffee

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
1,691
Likes
2,486
Points
280
Black Coffee

Black Coffee

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
1,691 2,486 280
Aiseee nimeshafika kileleni mara nyingi Sana, Ukitaka kufika Lazima Uwe na ujasiri, mawazo yako yatulie hata Kama unadaiwa kodi ya Nyumba!!
Nimecheka
 
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
3,338
Likes
5,951
Points
280
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
3,338 5,951 280
Nini kinakuzuia kusogelea milima?
Milima mirefu mfano mlima kilimanjaro. Mingine imenyooka haipandiki. Wacha niangalie kwenye picha tu.
Wanaoipanda wacha wafike tu kwenye vilele
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,509
Likes
117,452
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,509 117,452 280
Basi jaribu milima mifupi ili nawe uwe na cha kusimulia kuhusu kufika kileleni.

Milima mirefu mfano mlima kilimanjaro. Mingine imenyooka haipandiki. Wacha niangalie kwenye picha tu.
Wanaoipanda wacha wafike tu kwenye vilele
 
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
3,338
Likes
5,951
Points
280
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
3,338 5,951 280
Hahahahahahaha lol! Sikutaka kupitwa na hili. Milima mirefu na mifupi pia nimeipanda hadi kileleni :):):)
nice.
Itabid nikutafute labda utanishika mkono kunipandisha. Maana una experience ya milima yote
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,509
Likes
117,452
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,509 117,452 280
LOL! Hunitakii mema weye! Uje na note iliyosainiwa na Mr Van kwamba nina RUKHSA yake ya kukushika mkono hadi nawe ufike kileleni. Ukija na hiyo note basi tutaianza hiyo safari ya kwenda kileleni pamoja huku nimekushika mkono :p:p:p

nice.
Itabid nikutafute labda utanishika mkono kunipandisha. Maana una experience ya milima yote
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
4,861
Likes
6,112
Points
280
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
4,861 6,112 280
Kuna wengine wakifika kileleni hutetemeka kama gari linaloishiwa na mafuta. Na wengine utadhani wanapandisha mashetani na kuanza kuvuta nywele zao, macho hunitoka wigi lake likimtoka.:D
 
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
3,338
Likes
5,951
Points
280
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
3,338 5,951 280
LOL! Hunitakii mema weye! Uje na note iliyosainiwa na Mr Van kwamba nina RUKHSA yake ya kukushika mkono hadi nawe ufike kileleni. Ukija na hiyo note basi tutaianza hiyo safari ya kwenda kileleni pamoja huku nimekushika mkono :p:p:p
Yan BAK nacheka kama chizi.
ngoja niandae note ya faza house hapa hili tuelekee kileleni
 
iddy eba

iddy eba

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
503
Likes
1,019
Points
180
iddy eba

iddy eba

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
503 1,019 180
Nasikia wanawake weng hawafikagi kilelen, hivi ni kwanini?
 

Forum statistics

Threads 1,237,373
Members 475,533
Posts 29,286,224