Tulio single tujuane

MWANAUME kuwa single ni maamuzi. Ila MWANAMKE kuwa single ni kukosa soko.

Imeisha hiyo
Kukosa soko hiyo vipi ?

Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule .
 
Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule ...
Ila na mwanamke ukiona unatongozwa sana ujue your a cheap merchandize

Mwanaume ukikubaliwa sana unanyota ya Platnumz
 
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda 😆
🙆‍♂️🙆‍♂️ wenye wapenzi waandike maumivu imekwisha hiyooo
 
Kukosa soko hiyo vipi ?
Mwanamke pia kuwa single ni maamuzi mtu anatulia zake hataki stress maana ashaumizwa sasa afanyaje tena

utachezewa hadi lini ? .... ukitoka kwa huyu uende kwa yule .
Ww uko single?😀
 
Hata mimi nyie wawili siwaelewi elewi. Nitamuuliza mama vizuri. Nahisi nesi alifanya yake.
Wallah ipo namna!!..Si bure nesi lazima alifanya yake ila si kwetu bali kwako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…