zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Sasa mko single na mnataka kubaki single tuSingle ladies in the mix.....tuendelee kujuana japo single men wameingilia corner yetu
Mbona ndugu yako niko single;na hufanyi jitihada yeyote yet una mashosti kibaoHivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single
Sijawahi elewa hii.
Kila mtu ana soko banah sema kupata ambaye chemistry yenu iko on fire ndo shidaMe mwenyewe naktaaa kwa hyo na mimi nimekosaa soko
Hivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single
Sijawahi elewa hii.
Hilo nalo neno mkuu ngoja tuchakarikeSasa mko single na mnataka kubaki single tu
Mabadiliko yafanyike
Umeona eeeh kwa kweli kuna kazi sishangai wanao tembea na waume za watu uwa wanakosa pa kushika wanaume awaleweki kbsa mtu anaona bora ajichomeke tu hapo kwa mume watu siku ziendeKila mtu ana soko banah sema kupata ambaye chemistry yenu iko on fire ndo shida
Eti na mimi nashauri na niko singleHilo nalo neno mkuu ngoja tuchakarike
Hapo kwenye kukosa pakushika ni uzembeUmeona eeeh kwa kweli kuna kazi sishangai wanao tembea na waume za watu uwa wanakosa pa kushika wanaume awaleweki kbsa mtu anaona bora ajichomeke tu hapo kwa mume watu siku ziende
HmmNot single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda
Sio mada kuna comment hapo ya mdauMzee baba siko single ... Nimeoa!mada hii hainifit!
Eti na mimi nashauri na niko single
Dah
Yaaah.... na inategemea nipo wapi na muda gani? Status inabadilika na matukioHvo ndo vinasabisha wewe kuwa single
Bila picha ni ngumu kujibuuMe mwenyewe naktaaa kwa hyo na mimi nimekosaa soko
Nashangaa kabisa labda uoga, sasa kama sie wanaume totoz kibao kila kona ukikosa kazini basi mtaani au nenda cinemax au kwenye malls au vyuoni ijumaa unatega ukikosa kabisa kabisa vituo vya mwendo kasi vile vikubwa yaani weekend tatu hazifiki ushang'oa.Hivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single
Sijawahi elewa hii.
Mbona kama jf nzima watu wapo single
Wanatafuta single legelege baada ya mwezi wamuongezeee usingle