Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,040
- 4,291
- Thread starter
- #61
sawa Dada ila nyinyi hamchelewa kutuita wanaume wote mbwa
Be you
Chanzo ni sisi wanaume.
Happy dude [emoji67][emoji538]
sawa Dada ila nyinyi hamchelewa kutuita wanaume wote mbwa
Be you
miezi saba bado sana..[emoji16] mtoto afikishe mwaka ivii ndo utajua vzri kama damu zinaendana au ulikuwa mgeni[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko kat ya miguu yako ni ile soseji inabembeaAsumani ni jina la kike au kiume ??? Alfu babe wangu haitwi jina hilo ...!
Happy dude [emoji67][emoji538]
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuna siku utakuja kujishangaa[emoji28] [emoji28]🤣🤣🤣🤣 Nyie ndo Mnalialia kila siku mnajifanya Mnayajua sana mambo kumbe hakuna lolote! Kama Unampenda mtu we Mpende tuu sio unajimwambafai eti ooh ngoja nikaze asinione Fala sasa unamkomesha nani? Unabaki unaumiaumia Kimoyomoyo! Maisha yenyewe Mafupi Unajibana bana yanini? Unaogopa kufanya jambo la kheri ukiogopa Majanga yatatokea kwa mtindo huo Utaishi kwa Uoga maisha yako yoote maana kila kitu utajifanya Mjuaji unachukua tahadhari
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mapenzi Mubashara.
Aisee uyuu mtto wa kinyasa anataka kunichanganya kabisa we have one mouth now ila dah mapenzi yake ni matamu hadi uyu ambaye nilikuwa naye kabla ya kumpata yeye nafikiria kuachana naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi miwili bado mapya sana. But in the words of John Cena " lasting relationship takes work" .... all the bestHahahaha.. haya sio mapya mkuu. Tuna miezi yapata miwili sasa. Ngoja nimepnde huyu msichana maana hakuna jinsi
Happy dude [emoji67][emoji538]
Miezi miwili bado mapya sana. But in the words of John Cena " lasting relationship takes work" .... all the best
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo hapa kusoma comments endeleeni wachangiaji
HahahaTulikutana siku moja, mwaka jana, siku hiyohiyo tunda likaliwa kimasihara mapenzi yamekolea hadi tunategemea kupata mtoto baada ya miezi kadhaa[emoji85]
Tuna miezi 7 hadi sasa, familia zinatutambua pande zote mbili
Nakupenda sana baba k wangu[emoji182][emoji182][emoji182]
Kilichotushawishi naona damu zetu tu zimeendana from the first day we met