Habarini za Jioni hii wakuu na watz wenzangu, poleni kwa majukumu ya siku nzima na wale ambao ndio mmeingia kazini poleni na kazi pia.
Nimeweka huu uzi tujaribu kushirikiana kwenye hili jambo, Tuambizane, Uliwezaje kumshawishi mpenzi wako akakubalia mkawa wapenzi hadi sasa.
Naanza na mimi mwenyewe,Babe wangu nilikutana naye Job nilipo sasa hivi. Nilimkuta baadae tukawa marafiki na nikaanza kumzoea zoea nikaanza kushusha mistari. Nilipata tabu sana kumuaminisha kama nampenda kweli kweli ila kupitia vitendo vyamgu kwa zaidi ya miezi miwili nikawa nimefanikiwa kula tunda na sasa tupo fresh. Nilimshawishi kwa mpenzi wangu kukubali kuwa namimi kwa kuona nia yangu na utanashati wangu na vizawadi vidoho vidogo kama Ice cream na kipochi kidogo nilichomnunulia akaingia chomboni
Karibuni
Happy dude
