Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,271

Watu wanaojiwekea guarantee kwenye mapenzi.
So pathetic!! Badae ndo mnakuja kulia lia hapa

Povu la nini mkuu embu kaa kwanza chini kunywa maji upumzike.Kwahyo ulitaka wajiwekee Guarantee kuwa wataachana? Acha wivu wa Kike, acha watu wapendane wafurahie Maisha! Nyie ndo wale watu Mtu akimpenda sana Mpenzi wake mnasema karogwasasa Mnataka amchukie au? Wabongo bhana yani Mkipendana sana Mnaonekana kama malimbukeni eti bado wageni wa mapenzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii nchi ya Kis£nge sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
wasiwasi ndio akili.Life is today, Be happy and thankful for whatever you have at hand and for me I don’t give a damn if it ll end in tears or in Joy
Happy dude
![]()
Keyword; Back up, nimekupata mkuuPovu la nini mkuu embu kaa kwanza chini kunywa maji upumzike.
Mi sio kwamba nasema wataachana hakuna la hasha,hakuna anayejua kesho.kitu ambacho nimeona mtoa mada ameingia mazima miguu miwili hapo akinaswa kutoka asahau.
Halafu kutegemea binadamu mkuu hatari people changes bora kuwa na backup plan

hiyo hiyo tutakujaHamna bbyshower kuna 40 tu in sha allah![]()
Wee naona bado huyajua mambo ngoja siku utakuja kulilia kwa choo
I can't relate.Kula Tunda baada ya kusuluhisha Ugomvi linakuwaga Tamu mnoo Imagine Umetoka kuzingua demu kakataa katakata kutoa msamaha ila mwisho wa siku akakusamehe kishingo upande halafu akupe na Tunda *****
Sent from my iPhone using JamiiForums
kuna demu anaitwa oxford univ.namfukuzia ni mgumu sana nadhan n bikra.
sawa Dada ila nyinyi hamchelewa kutuita wanaume wote mbwaTulikutana siku moja, mwaka jana, siku hiyohiyo tunda likaliwa kimasihara mapenzi yamekolea hadi tunategemea kupata mtoto baada ya miezi kadhaa![]()
Tuna miezi 7 hadi sasa, familia zinatutambua pande zote mbili
Nakupenda sana baba k wangu
Kilichotushawishi naona damu zetu tu zimeendana from the first day we met