Tulio kwenye mapenzi moto moto

Tulio kwenye mapenzi moto moto

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,034
Reaction score
4,271
Habarini za Jioni hii wakuu na watz wenzangu, poleni kwa majukumu ya siku nzima na wale ambao ndio mmeingia kazini poleni na kazi pia.
Nimeweka huu uzi tujaribu kushirikiana kwenye hili jambo, Tuambizane, Uliwezaje kumshawishi mpenzi wako akakubalia mkawa wapenzi hadi sasa.

Naanza na mimi mwenyewe,Babe wangu nilikutana naye Job nilipo sasa hivi. Nilimkuta baadae tukawa marafiki na nikaanza kumzoea zoea nikaanza kushusha mistari. Nilipata tabu sana kumuaminisha kama nampenda kweli kweli ila kupitia vitendo vyamgu kwa zaidi ya miezi miwili nikawa nimefanikiwa kula tunda na sasa tupo fresh. Nilimshawishi kwa mpenzi wangu kukubali kuwa namimi kwa kuona nia yangu na utanashati wangu na vizawadi vidoho vidogo kama Ice cream na kipochi kidogo nilichomnunulia akaingia chomboni

Karibuni

Happy dude
 
Tulikutana siku moja, mwaka jana, siku hiyohiyo tunda likaliwa kimasihara mapenzi yamekolea hadi tunategemea kupata mtoto baada ya miezi kadhaa

Tuna miezi 7 hadi sasa, familia zinatutambua pande zote mbili

Nakupenda sana baba k wangu

Kilichotushawishi naona damu zetu tu zimeendana from the first day we met
 
Pisi kali,

Wow.. Hongereni sana ndugu zangu. Nawatakieni kila lenye kheri. Love is beautiful

Happy dude
 
Tulikutana siku moja, mwaka jana, siku hiyohiyo tunda likaliwa kimasihara mapenzi yamekolea hadi tunategemea kupata mtoto baada ya miezi kadhaa

Tuna miezi 7 hadi sasa, familia zinatutambua pande zote mbili

Nakupenda sana baba k wangu

Kilichotushawishi naona damu zetu tu zimeendana from the first day we met
Aisee mimi hivyo hivyo nilimla wangu kimasihara mpaka na type hapa mapenzi yamekolea kweli na familia inajua. December watu wanakula pilau.

God save us
 
Itakua ni mm huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mimi hivyo hivyo nilimla wangu kimasihara mpaka na type hapa mapenzi yamekolea kweli na familia inajua. December watu wanakula pilau.

God save us

Hongereni sana, God bless you

December mtupe mualiko tuje tuufinyange pilau

Mapenzi bwana ni kokote tu it depends na utayari wenu, sisi tumekutana wote tulikua tayari kuwa pamoja na uzuri mwenzangu kanipita almost miaka 8

Haijalishi mmekutana wapi mkalana kimasihara Au lah’ watu wanakaa mwaka ndio mgegedo unaanza, after 1week wanaachana
 
Watu wanaojiwekea guarantee kwenye mapenzi.
So pathetic!! Badae ndo mnakuja kulia lia hapa

Kwahyo ulitaka wajiwekee Guarantee kuwa wataachana? Acha wivu wa Kike, acha watu wapendane wafurahie Maisha! Nyie ndo wale watu Mtu akimpenda sana Mpenzi wake mnasema karogwa sasa Mnataka amchukie au? Wabongo bhana yani Mkipendana sana Mnaonekana kama malimbukeni eti bado wageni wa mapenzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii nchi ya Kis£nge sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wee naona bado huyajua mambo ngoja siku utakuja kulilia kwa choo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom