Tulio chaguliwa muhas tujuane jamani

Tutajuana tukifika Chuoni, kunatofauti gani nikikutajia jina humu kwenye JF na yale majina yaliyobandikwa kwenye mbao za matangazo pale chuoni? Utoto na ulimbukeni bwana, wewe ndio wa kwanza kijijini kwenu eeeh.
 
Back
Top Bottom