tulio aply polis tukiwa chuo

tulio aply polis tukiwa chuo

litemakaye

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
46
Reaction score
37
jamani naombeni updates, kama mwezi wa tano tulitaza fom na kuandika barua za aplication za kujiunga na jesh la police tukiwa chuoni, vip jamani naona kimya,,
 
Aisee bado bwana ila wale wa 4m4 na 4m6 ndo waliitwa kwenye usaili.
 
Back
Top Bottom