jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Kuna wachumia tumbo humu jamvini wanaolilia bunge kuoneshwa live wakiwa na hoja ya kufanikisha uibuaji wa madudu .Wanaenda mbali na kusema kuwa bunge lingeweza kuwaunbua mafisadi au ufisadiserikalini.
sasa swali langu rahisi lakini lenye kuhitaji facts kulijibu ni hili tu...kwamba wakati bunge likiruka live tulifanikiwa kutumbua majipu mangapi compared to utaratibu wa sasa wa recorded ya sessions za bunge?
Huu sio muda wa wabungekujipatia umaarufu kwakuvaa kininja wakati ni sehemu ya mafisadi!
Msimamo wangu ni Rais Magufuli aendelee kutumbua majipu na bunge liwe recorded ili kuondoa wabunge wa media wanaokimbia shida za wananchi na kuja kufanya vihoja bungeni ili tu wasikike!
Katika kipindi chote akiwa mbunge hakuwahi kutafuta sifa ndani ya bunge bali alitumia utendaji wake kujulikana.