jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
NAJUA ITAWAKEREKETA WENGI LAKINI UKWELI LAZIMA USEMWE!
Napata mashaka sana na uwezo na umakini wa wabunge wetu yawezekana wa kambi zote wanapokuwa bungeni.
Nashindwa kuelewa hivi kule bungeni wanaenda kuuza sura au kusinzia au kuonesha vihoja au wana kazi ya msingi ya kusikiliza hoja na kuzijibu hoja au kuanzisha hoja zenye mashiko na zinazomlenga mwananchi masikini???
Ukifuatilia bunge letu utaona hili gap kubwa la kukosa umakini kwa wabunge wetu pengine ni makusudi au pengine ndio elimu za hapa na pale aka elimu ya shanga.
Sina shida na wabunge wengi kukosa umakini lakini nina Shida ya Msingi na mbunge ambaye ana cheo cha KUB pale bungeni.
Unapoona KUB anaitisha kambi yake kususa na baadae kuongea na vyombo vya habari na kwa bahati mbaya akaishia kutema pumba basi kinachokujia akilini ni ama hasira au huzuni au huruma.
Kwa nini nahisi KUB alisinzia au labda hakuwepo bungeni wakati waziri Nape anazungumzia kuhusu matangazo ya bunge kuwa ya moja kwa moja ama recorded.
WAZIRI alisisitiza kuwa TBC haitarusha matangazo yote ya bunge live na badala yake yatarekodiwa na kurushwa usiku.
Pia waziri alisisitiza kuwa kuna wakati TBC itarusha live mjadala wa bunge iwapo kutakuwa na suala muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa(JIULIZE KAMA MBUNGE KUONGELEA SHANGA NI MUHIMU KITAIFA AU UKAWA KUONESHWA WAKITOKA NJE KWA KUSUSA AU KUPIGWA TANGANYIKA JEKI NI MUHIMU KWETU????)
Inashangaza na kusikitisha KUB kuja hadharani na kuongelea suala hili bila kujiongeza kwa facts,data na evidence.
Hivi siku bunge likiruka live kwa session ya siku nzima kwenye swala muhimu la kitaifa KUB na masela wake wataitisha press conference kuwa "Magufuli au serikali yaufyata" hebu tuache utoto na usanii bana!
MWISHO NISISITIZE KUWA MBUNGE ANAYETAKA KUUZA SURA AENDE KWA SALAMA JABIR KWENYE KIPINDI CHA MIKASI PALE MJENGONI TUKO KWENYE ZAMA ZA HAPA KAZI TU!
JUMAPILI NJEMA!!