James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habar wadau,
Ninatafuta MTU ambaye ni mwelevu,mwaminifu na mwenye kkujituma ili tulime nae kitunguu hheka nne.shamba zipo nzur sana ambazo zinauhalika WA kutoa gunia si chini ya gunia 80 kwa hheka mmoja,wakati gunia mmoja LA kitunguu ni kati ya laki mbili|laki na nusu.plz naomba kma kuna mtu atakiwa tayr anitafute.namba yangu ni 0744082128.ahsanten

Niko moshi,njiapanda shamba ziko hapa hapaUko wapi na shamba lipo wapi mkuu...
Habar wadau,
Ninatafuta MTU ambaye ni mwelevu,mwaminifu na mwenye kkujituma ili tulime nae kitunguu hheka nne.shamba zipo nzur sana ambazo zinauhalika WA kutoa gunia si chini ya gunia 80 kwa hheka mmoja,wakati gunia mmoja LA kitunguu ni kati ya laki mbili|laki na nusu.plz naomba kma kuna mtu atakiwa tayr anitafute.namba yangu ni 0744082128.ahsanten
bdo mi sijaelewa sasa huyo mtu awe ni mshirika au mfanyakazi..?Habar wadau,