Tulikuwa tukichat tu, tumekutana na kufahamiana leo na leo leo tumezini.

honestly sina maana mbaya..ila nilifanya hizi mambo form two..kuandika barua afu tulipo onana mara ya kwanza..dudu lilitembea
binafsi nilikua kijana h.b (adi sasa ila pesa ndo kinga yangu)so kumkata duu mara ya kwanza tukionana ilikua kawaida sana
 
Kumpenda ama kumtamani? manake huo sio upendo, ni tamaa ya ngono tu!!!!

Kupenda!!!!!!! kwa nn nimtese mpnz wangu kwa ndoto za ajabu huku na tulishatongozana na kupenda??????
Na imeandikwa wapi umzungushe mwenzio kumpa hichio kipochi manyonya ................
 
kupenda!!!!!!! Kwa nn nimtese mpnz wangu kwa ndoto za ajabu huku na tulishatongozana na kupenda??????
Na imeandikwa wapi umzungushe mwenzio kumpa hichio kipochi manyonya ................

i love you then i hate you, then i hate you then i love you!
 
Kupenda!!!!!!! kwa nn nimtese mpnz wangu kwa ndoto za ajabu huku na tulishatongozana na kupenda??????
Na imeandikwa wapi umzungushe mwenzio kumpa hichio kipochi manyonya ................

hahaha...haya bwana, peaneni ila kwenye kibuti usije jamvini kulia lia..ati kipochi manyoya,teh..mna vimsemo nyie..lolz
 
hahaha...haya bwana, peaneni ila kwenye kibuti usije jamvini kulia lia..ati kipochi manyoya,teh..mna vimsemo nyie..lolz

Cnaga malengo ya kushindwa,,,, kwani ukichelewa kutoa kikojoleo ndo guarantee ya kutopewa kibuti?????????????
Najiamini hata nikimpa lazima arudi tena na tena!!!!!!
 
Habari wana MMU. Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga tuonane siku ya leo. Nikamshtua mtrotro mapema leo, nikamwambia aje pande za huku kwetu. Mida ya flani jioni nikawasili maeneo ya kituoni hapa, nikamkuta ananisubiri. Kumuona mtrotro mashallah.. Kiukweli mimi sijajaliwa sura yenye mvuto na kimuonekano pia ni wa kawaida tu. Nikaenda nae maeneo tukapiga story 2.. 3.. Then nikamuingiza majaribuni, nikamuomba tuzini. Cha kushangaza akakubali wakati ndo kwanza tumeonana leo. Nikajilia vyangu kiulainiii, nikamsindikiza. Nikarudi home na viulizo..!! Huyu binti yuko sawa kweli au ndo wale wa buguruni..!!? Au ni kawaida tu, kwamba inawezekana sex at first sight.

Ulim.to.mba kavukavu au ulitumia kinga?
 
kweli wewe mjanja wa town, sasa haujajiuliza kama wewe upo sawa kichwani kukutana na mtu siku ya kwanza tu na kumuomba!
 
Back
Top Bottom